Badilisha lugha English
Mwanzo Kuhusu Ensol Huduma zetu Bidhaa Miradi Maktaba ya picha webmail Habari na matukio Wasiliana nasi
Questions about solar?
Request a quote
What type of installation are you interested in?

ENSOL (T) LTD inajishughulisha na ugavi, ufungaji na utunzaji wa mifumo ya nishati ya jua kwa ajili ya matumizi kwenye makazi, biashara na asasi.
Tukiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 7 wa kusambaza na kufunga mamia kwa mamia ya mifumo ya nishati ya jua kwa asasi mbalimbali, hivi sasa tumekuwa kampuni imara na ya kuaminika. 
Kuwepo kwetu katika shughuli hizi tangu tulipoanza mnamo mwaka 2001, kumetupatia maarifa, stadi, uzoefu na vyombo vya uchanganuzi ambavyo vinakuwezesha kufanya maamuzi sahihi kuhusu mahitaji yako ya nishati.
Soma zaidi

Bidhaa Huduma zetu Wasiliana nasi
ENSOL (T) Ltd inafanya kazi kwa karibu na wauzaji maarufu wa kimataifa wa bidhaa za nishati ya jua na imeweza kuwapa wateja wake bidhaa na huduma za kisasa kabisa na za hatua ya juu kiufundi.

Soma zaidi
ENSOL (T) Ltd inajihusisha na ubunifu, ugavi na ufungaji wa mifumo ya kuaminika ya nguvu za jua na vichemsha maji vinavyotumia nguvu za jua kwenye kaya, Asasi za Serikali na za Kidini, Mashirika ya Kimataifa ya Misaada, makampuni binafsi, na kadhalika
Soma zaidi
Ensol (T) Ltd
Ghorofa ya 3 NSSF Ubungo
Dar es Salaam
P.O. Box 42227, Dar-es-Salaam.
Tanzania
+255 22 2450468
info@ensol.co.tz
There have been 2905 visitors to this websiteThere have been 2905 visitors to this websiteThere have been 2905 visitors to this websiteThere have been 2905 visitors to this website
User online : 2
Hakimiliki ©2009 Ensol (T), Haki zote zimehifadhiwa