|
MIRADI
ENSOL imetekeleza miradi inayogharimiwa AU kumilikiwa na mashirika maarufu kama UNDP, UNICEF, DANIDA, Global Volunteer of US, Africare/ Tanzania, Clinton Foundation, Mbuga ya Taifa ya Arusha, Mbuga ya Taifa ya Serengeti, Mbuga ya Wanyama ya Selous, Wizara ya Nishati, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Kiufundi, Wizara ya Mambo ya Ndani, na kadhalika
Gonga hapa kuona baadhi ya miradi
|